Tarehe ya Lissu kupigwa risasi ndiyo Mume kaondoka!! ? Jitafakari ujumbe

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Huyu mbaya wako ambaye umemfunga kwa mwaka leo siku yake ya kumbukumbu ya kunusurika jaribio la kumuua na kushindikana ndiyo Mpendwa wako Mungu kamchukuwa.

Hivyo Mungu tarehe ya leo aliamua mmoja aishi na mwingine amemchukuwa.

Sasa huo wizi, utekaji, rushwa yote ya nini Mungu pekee ndiye mkubwa tenda haki wape watu katiba bora na uhuru hujui kesho yako ni ipi?!
 
Hahaaa lakini mhusika mkuu wa kumpiga risasi lissu tayari katangulia
 
Huyu mbaya wako ambaye umemfunga kwa mwaka leo siku yake ya kumbukumbu ya kunusurika jaribio la kumuua na kushindikana ndiyo Mpendwa wako Mungu kamchukuwa.

Hivyo Mungu tarehe ya leo aliamua mmoja aishi na mwingine amemchukuwa.

Sasa huo wizi, utekaji, rushwa yote ya nini Mungu pekee ndiye mkubwa tenda haki wape watu katiba bora na uhuru hujui kesho yako ni ipi?!
Nilitamani aanguke yeye muuaji badala ya huyo mzee mwema.
 
Kuna binti mmoja kijijini alikuwa anatembea na wanaume kadhaa

Mwisho wa siku akapata ujauzito kimbembe ikawa hajui nani hasa muhusika wa ujauzito ule

Siku zikaenda muda ukasogea akapata uchungu mama yake mzazi akambeba binti na ndugu baadhi kumsogeza barabara ya vumbi ghafla defender la Jeshi likashka breki limetoka kubeba kuni porini
Akabebwa pale kupelekwa hosipitali

Nikaanza waambia washkaji huyu kama hajapewa mimba na mwanajeshi basi mtoto wa mwanajeshi
Akajifungua salama Chata moja la mwanajeshi ambaye hata kwenye list hakumtaja
Mwamba nikawa nimeshinda bet😂😂
 
Huyu mbaya wako ambaye umemfunga kwa mwaka leo siku yake ya kumbukumbu ya kunusurika jaribio la kumuua na kushindikana ndiyo Mpendwa wako Mungu kamchukuwa.

Hivyo Mungu tarehe ya leo aliamua mmoja aishi na mwingine amemchukuwa.

Sasa huo wizi, utekaji, rushwa yote ya nini Mungu pekee ndiye mkubwa tenda haki wape watu katiba bora na uhuru hujui kesho yako ni ipi?!
Muacheni tu huyo mzee wa watu apumzike kwa amani.
 
Kuna Onyo kubwa sana Watawala wanapewa kuhusu namna wanavyom treat Lissu, hizi ni Ishara kuwa Mungu anatuma Ujumbe
Wakiendelea kufumba Masikio kuna KUBWA litatokea
Wekeni hii post kwenye Maktaba
 
Mwingira alishawaambia habari ya lissu very clear....ile message tosha...
 
Kuna Onyo kubwa sana Watawala wanapewa kuhusu namna wanavyom treat Lissu, hizi ni Ishara kuwa Mungu anatuma Ujumbe
Wakiendelea kufumba Masikio kuna KUBWA litatokea
Wekeni hii post kwenye Maktaba

Uko sawa Samia anatumiwa onyo ni vile kaziba maskio na macho
 
Back
Top Bottom