Hahaaa lakini mhusika mkuu wa kumpiga risasi lissu tayari katanguliaHuyu mbaya wako ambaye umemfunga kwa mwaka leo siku yake ya kumbukumbu ya kunusurika jaribio la kumuua na kushindikana ndiyo Mpendwa wako Mungu kamchukuwa.
Hivyo Mungu tarehe ya leo aliamua mmoja aishi na mwingine amemchukuwa.
Sasa huo wizi, utekaji, rushwa yote ya nini Mungu pekee ndiye mkubwa tenda haki wape watu katiba bora na uhuru hujui kesho yako ni ipi?!
Nilitamani aanguke yeye muuaji badala ya huyo mzee mwema.Huyu mbaya wako ambaye umemfunga kwa mwaka leo siku yake ya kumbukumbu ya kunusurika jaribio la kumuua na kushindikana ndiyo Mpendwa wako Mungu kamchukuwa.
Hivyo Mungu tarehe ya leo aliamua mmoja aishi na mwingine amemchukuwa.
Sasa huo wizi, utekaji, rushwa yote ya nini Mungu pekee ndiye mkubwa tenda haki wape watu katiba bora na uhuru hujui kesho yako ni ipi?!
What a sad coincidence.
Muacheni tu huyo mzee wa watu apumzike kwa amani.Huyu mbaya wako ambaye umemfunga kwa mwaka leo siku yake ya kumbukumbu ya kunusurika jaribio la kumuua na kushindikana ndiyo Mpendwa wako Mungu kamchukuwa.
Hivyo Mungu tarehe ya leo aliamua mmoja aishi na mwingine amemchukuwa.
Sasa huo wizi, utekaji, rushwa yote ya nini Mungu pekee ndiye mkubwa tenda haki wape watu katiba bora na uhuru hujui kesho yako ni ipi?!
Mwingira alishawaambia habari ya lissu very clear....ile message tosha...
Kuna Onyo kubwa sana Watawala wanapewa kuhusu namna wanavyom treat Lissu, hizi ni Ishara kuwa Mungu anatuma Ujumbe
Wakiendelea kufumba Masikio kuna KUBWA litatokea
Wekeni hii post kwenye Maktaba
Things happens for a reason.Nilitamani aanguke yeye muuaji badala ya huyo mzee mwema.
Hata bibie hana muda mrefu, itapepea nusu mlingoti.Kifo ni kifo tu