Tariff na deportation ni ukamilisho wa ufunuo wa yohana

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,227
Reaction score
1,363
Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.

Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.

Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
 
ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.

Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.

Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
 
Litakalomsumbua ni china na mshirika wake Russia na wanajulikana kama MFALME WA KUSINI
unanidai bia mbili! kwa hiyo tusubili dini moja ya kuabudu na siku moja tuu ya kuabudu!
 
ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yaliisha tabiliwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Raisi mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani. tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu. taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
Tatizo lenu walokole mnavuta kwa kujificha

Hebu soma kwa utulivu ulichokiandika alafu jipigepige kifua useme, hakika mimi mleta mada ni mjinga
 
Mbona ile ya wanawake saba kumfuata mwanaume mmoja wakisema huduma zote watajihudumia ila waitwe kwa jina la mwanaume huyo mimi bado haijanifikia?

"Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu," uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
 
Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.

Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.

Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
sio taifa litakalomsumbua taifa litakaloiangamiza USA
 
Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.

Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.

Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
Hakuna unabii specific ulioonesha ukitimia, Marekani kuwa na nguvu imekuwepo miaka mingi, na imekuwa na Rais anayeitawala miaka yote hiyo, mambo ya tariffs na wazamiaji havihusiani hata kidogo na unabii wowote.

Marekani haiko katika mataifa ya kinabii, meaning linaweza kuondoka katika kuwa taifa lenye nguvu duniani, Iran ni kweli ni moja ya mataifa ya kinabii. Nchi kuwa taifa la kinabii kwa muktadha huu maana yake lipo katika matukio maalum ya mwisho wa dunia na kurudi kwa Yesu mara ya pili.
 
Hakuna kitu kama hicho miaka inavyozidi kwenda habari za Mungu zinazidi kukosa mashiko na mwandishi alijua hilo
 
Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.

Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.

Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
Yohana wa mamako
 
Yohana wa mamako
Mods, you will be doing this forum no justice if you do not expunge these thugs who are degrading the dignity of this forum, the forum whose values and dignity we're always fighting to uphold and cherish.
 
Back
Top Bottom