Tatizo lenu walokole mnavuta kwa kujifichaukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yaliisha tabiliwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Raisi mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani. tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu. taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
sio taifa litakalomsumbua taifa litakaloiangamiza USAUkisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.
Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.
Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
Hakuna unabii specific ulioonesha ukitimia, Marekani kuwa na nguvu imekuwepo miaka mingi, na imekuwa na Rais anayeitawala miaka yote hiyo, mambo ya tariffs na wazamiaji havihusiani hata kidogo na unabii wowote.Ukisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.
Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.
Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
Yohana wa mamakoUkisoma ufunuo wa yohana utagundua ya kuwa haya yote yatokeayo duniani yalishatabiriwa 2000yrs ago. Taifa moja lenye nguvu duniani ndilo hilo marekani. Rais mmoja mwenye nguvu ndiyo huyo atawalaye marekani.
Tariff na timua timua ya wazamiaji ndiyo nguvu za kuitawala dunia. sasa kinachosubiliwa ni siku moja ya kuabudu na dini moja tuu.
Taifa litakalosumsumbua mmarekani limeisha tabiliwa na kujulikana nalo ni IRAN. lets wait and see.
sasa
Mods, you will be doing this forum no justice if you do not expunge these thugs who are degrading the dignity of this forum, the forum whose values and dignity we're always fighting to uphold and cherish.Yohana wa mamako