passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Gwajima alisema atajibiwa na matahira.Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Msukuma Kajibu kasema ni Kweli kwahyo waachwe wafanye kazi yaoKwanini hawajibu hoja? Kwamba Gwaji boy mambo aliyoongea ni non-sense kiasi hicho?
Amesahau Gwajima alimnyoosha BASHITE huku akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa DSM, tena mtoto pendwa wa aliyekuwa Rais wakati huo.Kwanini Gwajima asijibiwe kwa hoja,mbona mnamtisha.tarimba ajue Gwajima anamjua vizuri kuliko yeye anavyomjua gwajima
Kamfufue uzikwe wewe. Bwege kabisa !Enzi ya JPM hata ule mkutano asingeufanya au hata kuumaliza. SSH aanze kuwafinya hawa
Hahahaha wewe ni mjingaAmeongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Ingekuwa Rais km Magu ht hilo kanisa Jumapili hawezi kuikuta, tunahitaji kiongozi mkuu very strong. Magufuli alishamaliza kazi, mama matatizo mengine amejitakia, Lissu na Heche siyo wa kucheka nao, Lissu hana utu, hana ustaarabu, hana fadhila, ili mradi anapigiwa makofi atatukana anavyojisikia, siyo wa kucheka naye. Ht akishinda kesi dola idil naye mpk achokeAmeongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Ungekuwa unajua maana ya uhuru ungejikanya wewe na chawa wenzio kwanzaUnatumia uhuru vibaya au kwa kuwa umejificha kwenye ID feki ndio udhalilishe watu
Tofauti ya ubongo wako na kinyesi ni joto tuUmeandika hii post kichwani ukiwa na samadi ya nguruwe badala ya ubongo
asa kubomolewa kanisa kuna mahusiano gani na alichoongea?ukiwa CCM unakuwa mtu wa hovyo hovyo ki fikra,yaani unakuwa poor mind ambayo hata nguruwe hanaAmeongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
Uchawa unaliangamiza hili taifa.Amesahau Gwajima alimnyoosha BASHITE huku akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa DSM, tena mtoto pendwa wa aliyekuwa Rais wakati huo.
Hizi ligi za kuharibiana na kuchafuana, Gwajima ni Bingwa. Atawadhalilisha hadi hawawezi kuamini. Mtu ambaye video ya ngono ilishindwa kumnyamazisha, wasicheze nae kabisa.
Wanapaswa wajibu hoja zake kwanini watu wanatekwa na ni nani anayewateka.
NGOMA ikilia sana hupasuka, watu wamemsifia sana Mkulu hadi wanaona kushauri vitu vizuri ni UBAYA.
Ni bora wamalize haya mapema kabla hawajajutia.
Labda kama wewe pekeyako ulikuwepo wakati wa JPM!Enzi ya JPM hata ule mkutano asingeufanya au hata kuumaliza. SSH aanze kuwafinya hawa
Ccm ni mchwaAmeongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha huyo
Napendekeza afukuzwe uanachama wa CCM, na kanisa lake lililojengwa eneo la wazi libomolewe akatafute eneo nje ya mji
And foolish 🙄Very stupid