PreGE2025 Tarimba: Wameniita mpaka Mponjoro, lakini nitaendelea kumtetea Rais wangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Akizungumza Jumatatu, tarehe 23 Juni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, aliongoza mkutano wa uwajibikaji kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi Cha miaka mitano .

Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Issa javu, Katibu wa NEc Oganalzesneni wa CCM ambaye alifungua rasmi kikao hicho.

Katika hotuba yake, Mbunge Tarimba alibainisha mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika sekta kama elimu, afya, miundombinu, maji safi na usafi.

pamoja na ujenzi wa madaraja na barabara za msingi ,Tarimba alisisitiza ushirikiano alioupata kutoka kwa Rais Samia kwani kila alipoomba jambo la wana Kinondoni Rais Samia hakusita kumsaidia

PONJOLO, KWANZA HILI S I TANZANIA, NI MCHANGANYIKO WA WAPI SIJUI...MWARABU WA WAPI? lIFURUSHWE LIRUDI ARABUNI
 
1744872425267.jpg
 
Akizungumza Jumatatu, tarehe 23 Juni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, aliongoza mkutano wa uwajibikaji kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi Cha miaka mitano .

Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Issa javu, Katibu wa NEc Oganalzesneni wa CCM ambaye alifungua rasmi kikao hicho.

Katika hotuba yake, Mbunge Tarimba alibainisha mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika sekta kama elimu, afya, miundombinu, maji safi na usafi.

pamoja na ujenzi wa madaraja na barabara za msingi ,Tarimba alisisitiza ushirikiano alioupata kutoka kwa Rais Samia kwani kila alipoomba jambo la wana Kinondoni Rais Samia hakusita kumsaidia

sawa ponjolo
 
Ponjoro hana karata nyingine huko jimboni zaidi ya kuwa chawa wa mama
 
Akizungumza Jumatatu, tarehe 23 Juni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, aliongoza mkutano wa uwajibikaji kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi Cha miaka mitano .

Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Issa javu, Katibu wa NEc Oganalzesneni wa CCM ambaye alifungua rasmi kikao hicho.

Katika hotuba yake, Mbunge Tarimba alibainisha mafanikio makubwa yaliyofikiwa katika sekta kama elimu, afya, miundombinu, maji safi na usafi.

pamoja na ujenzi wa madaraja na barabara za msingi ,Tarimba alisisitiza ushirikiano alioupata kutoka kwa Rais Samia kwani kila alipoomba jambo la wana Kinondoni Rais Samia hakusita kumsaidia

Jamaa lazima atetee. Bila CCM/mama angeozea gerezani kwasababu ye ni mmiliki wa lile ghorofa kariako lililoporomoka na kuua watanzania wasiyo na hatia.
 
Yanga tumeanza kuwa na watu wa hovyo sanaa..hasa huyu ponjoro
 
Back
Top Bottom