GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Afadhali kukaa gerezani kama Tundu Lissu kuliko kunyimwa haki ukiwa ulaiani
 
ZITO ANAELEWA KILA KI2 YEYE NDYE FUNDI WA MIPANGO YOTE NA CCM.
 
ACT waliambiwa 2025 hakuna uchaguzi wakashupaza mashingo!
Sasa wanajionea wenyewe!
 
Blahblah tu. Kama wamekosa sifa basi ni sahihi, tupitishe wagombea kwa kufuata kanuni na sheria za uchaguzi bila kusahau katiba za vyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…