Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
- Tarimo ni ukoo mkubwa sana, maarufu sana na mashuhuri sana katika historia ya wachagga Kilimanjaro. Huu ni ukoo ambao umekuwa ukoo mama kwa baadhi ya koo na ni moja kati ya koo zinapatikana karibu kila mahali Uchaggani. Ukoo wa Tarimo ni mkongwe sana na unafahamika kusambaza vizazi vyake katika maeneo mengi ya Uchagga tangu karne nyingi zilizopita na hata kuzalisha watawala wa maeneo mengi.
- Kutoka kwenye historia ukoo wa Tarimo umekuwa ni ukoo wenye ushawishi mkubwa katika vijiji vingi vya Uchagga. Kwa kuanzia ukoo wa Tarimo ulikuwa ndio ukoo wenye nguvu na kutawala katika kijiji cha Tsudunyi, Old Moshi huku ukiwa na nguvu sana pia katika kijiji cha Tella, Old Moshi walikohamia ndugu wengine kutokea Tsudunyi na kusambaa kuelekea upande wa magharibi. Ukoo huu wa Tarimo ulielekea upande wa magharibi zaidi na kuweka makazi ya mengine na kutawala katika himaya ndogo ya Mweka, Kibosho.
- Inasemekana kwamba ni tawi la ukoo huu wa Tarimo kutokea katika kijiji cha Tella, Old Moshi lililoenda kutawala katika himaya ndogo ya Mweka, Kibosho ambayo baadaye ilikuja kufanya kuwa sehemu ya Kibosho na kutawaliwa kutokea Kibosho. Kisha tawi lingine la ukoo huu wa Tarimo inasemekana lilielekea upande wa mashariki wa Uchagga na kuweka makazi ya kudumu maeneo ya mashariki kabisa ya Rombo. Ukoo huu wa Tarimo ulisambaa katika maeneo mengine ya Rombo na kuwa na nguvu kubwa sana ya ushawishi na hata kutawala maeneo mengi ikiwemo himaya ya Mkuu ya zamani. Inasemekana pia baadhi ya koo nyingine zilitokea kwenye ukoo huu mkubwa sana.
- Ukoo wa Tarimo uliendelea kusambaa zaidi katika vijiji vingi vya Uchagga mashariki na magharibi ya Kilimanjaro na kuendelea kupatikana na kuongezeka sana idadi katika maeneo mengine mengi zaidi. Katika himaya ya umangi Kilema miaka ya zamani sana ukoo wa Tarimo ulikuwa na nguvu sana na waliokuwa ndio watawala katika kijiji cha Makami chini, Kilema. Ukoo wa Tarimo pia ndio walikuwa watawala wa himaya ndogo ya umangi Kerio, Rombo. Mangi Leikturu wa himaya ya umangi Kerio aliyeuwa wazungu waliokuwa wanaelekea Usseri mwaka 1894 kisha na yeye kukamatwa na kunyongwa Old Moshi alitokea kwenye ukoo wa Tarimo ambapo baadaye Mangi Ndebarika wa himaya hiyo alikuja kuwa maarufu zaidi.
- Tawi lingine kubwa la ukoo wa Tarimo lilielekea upande wa magharibi na kupatikana kwa wingi sana maeneo ya Masama au Machame ya magharibi.
- Ukoo Tarimo umekuwa ni ukoo wa watu mashuhuri na wenye kujituma sana. Ukoo wa Tarimo umekuwa ni ukoo wenye wasomi wengi na watu wajasiri na wajasiriamali wadogo na wakubwa. Ndani na nje ya Kilimanjaro na hata nje ya Afrika mashariki utakutana na watu wanaofanya vizuri sana katika maeneo mbalimbali kutokea kwenye ukoo wa Tarimo.
Kutokana na kukua sana kwa ukoo wa Tarimo umesambaa na unapatikana katika maeneo mengi mbalimbali ya Uchagga.
- Wachagga wa ukoo wa Tarimo wanapatikana kuanzia magharibi kwa wingi sana katika kijiji cha Nkwansira, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa wingi pia katika kijiji cha Mbosho, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Lemira, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Isuki, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Mroma, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Ng'uni, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Sonu, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi kidogo sana katika kijiji cha Sawe, Masama.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kyeeri, Machame.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Shari/Uraa, Machame.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Uswaa, Machame.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi upande wa mashariki ya Kibosho.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Ongoma, Uru.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Shimbwe, Uru.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana katika kijiji cha Tema, Kata ya Mbokomu, Old Moshi.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa wingi kiasi katika kijiji cha Tella, Old Moshi.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Sango, Old Moshi.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Iwa, Kirua Vunjo.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Nduoni, Kirua Vunjo.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Masaera, Kilema.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Makami, chini, Kilema.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Makami Juu, Kilema.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Lyamrakana, Marangu.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kotela, Mamba.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Msae Nganyeni, Mwika.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana kwa kiasi katika kijiji cha Kondeni, Mwika.
- Ukoo wa Tarimo wanapatikana katika kijiji cha Kiruweni, Mwika.