TARURA Arusha (Wrong Parking) Wala Rushwa

Joined
Jan 6, 2020
Posts
36
Reaction score
139
Hawa jamaa wakikukamata kwa kosa la kupaki gari vibaya (wrong parking) ukienda kulipa ofisini kwao (zilipo ofisi za TEMESA/UJENZI), wanaomba rushwa waziwazi bila kificho wala aibu. Dau lao ni 30k (faini ni 50k). Mpokeaji ni mama mmoja anaye-register magari yanayoingia kwao.
 
Kama hauna hata kapicha mkuu huu ni umbea na majungu
 
Back
Top Bottom