Hawa jamaa wakikukamata kwa kosa la kupaki gari vibaya (wrong parking) ukienda kulipa ofisini kwao (zilipo ofisi za TEMESA/UJENZI), wanaomba rushwa waziwazi bila kificho wala aibu. Dau lao ni 30k (faini ni 50k). Mpokeaji ni mama mmoja anaye-register magari yanayoingia kwao.