Nimebahatika kufika Kigoma siku tatu zilizopita.
Nimeshindwa kuvumilia kituko cha barabara kutoka Gungu kwenda mpaka njia panda ya Kigoma mjini na Ujiji.
Lakini pia Kituko cha barabara ya Kigoma to Ujiji.
Swali langu: Ivi huo mtaro ulio katikati ya barabara mbili una kazi gani? hamuoni kama umechukua nafasi kubwa ya barabara?
Hamfahamu kama kuwepo kwa mtaro katikati ya barabara mbili kumeongeza idadi ya ajali hapo mjini?
Wewe Engineer uliye andaa hiyo BOQ, umewakosea watu wa Kigoma Mjini, nimetembea mikoa yote, hii yako ni kali!
Kwanza aina ya lami mnayo weka ni duni to the extent inakuwa kama rafu road tu.
Huu mkoa hamko Serious! Kwa Makonda huwezi kufanya kituko kama hicho akawaacha.
Ni hayo tu.

Attachments
-
IMG_20241231_142700.jpg453.8 KB · Views: 5 -
IMG_20241231_142659.jpg353.7 KB · Views: 5 -
IMG_20241231_142656.jpg322.4 KB · Views: 4 -
IMG_20241231_142546.jpg133 KB · Views: 8 -
IMG_20241231_142531.jpg351.8 KB · Views: 7 -
IMG_20241231_142439.jpg196.4 KB · Views: 6 -
IMG_20241231_142414.jpg267.2 KB · Views: 7 -
IMG_20241231_142412.jpg253.9 KB · Views: 6 -
IMG_20241231_142408.jpg200.6 KB · Views: 6 -
IMG_20241231_142406.jpg174.8 KB · Views: 5 -
IMG_20241231_142355.jpg271.9 KB · Views: 6