Hii ndiyo CCM mzee tulieni iwatafune, bado kodi ya miguuKwema ndugu zangu....juzi walikuja tarura kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(3,00/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa bara bara.
1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Unataka irudi mara ngapi?Duuh kunauwezekano mkubwa wa kurudishwa kodi ya kichwa ☹️
Bumper 2 bumper mwendo wa tozo mpaka 2025Kwema ndugu zangu....juzi walikuja tarura kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(3,00/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa bara bara.
1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
CCM haina rafiki wa kudumu wa adui wa kudumu
Msikubali
Pumzi ipi hii ya bure au ipi..?😂Wananchi wanasema wanataka Kodi ya pumzi.Serikali sikivu fanyeni kuileta fasta
Hawa jamaa hawa basi tuuuCCM haina rafiki wa kudumu wa adui wa kudumu
Ni zaidi ya shetani
Siku hizi sio KUBANA MATUMIZI bali Ni mwendo wa kukusanya na kutumbua kila uchao.Kwema ndugu zangu.
Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara.
1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.