Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Hii nchi inaongozwa na wagonjwa wa akili. Naanza kuamini kabisa hii nchi kuna watu hawaitakii mema kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiteto ni wilaya ya pembezoni unaweza kukuta hata bodaboda hazizidi 10Kwema ndugu zangu.
Juzi walikuja TARURA kijiweni kwetu wakatwambia wanataka kukusanya kodi shs mia tatu(300/=) kila siku kwa boda boda inayopaki pembezoni mwa barabara.
1.300*30siku shs 9,000/=(kwa mwezi)
2.300*365siku shs 109,500/=(kwa mwaka)
3.100*109,500 shs 10,950,000/=(kwa boda boda mia moja kwa mwaka TARURA-kiteto watakusanya hio pesa.