TARURA mnaonea kwa vitisho

TARURA mnaonea kwa vitisho

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
4,761
Reaction score
4,926
Naomba sana Rais wangu Mama Samia kupiga marufuku ya hii kamatakama ya hawa Tarura unapopaki pembeni ya barabara ama kwa dharura umewasha double hazard lakini bado wanakuja kukamata ni kikubwa huwa wanachukuwa rushwa tu.

Hawa jamaa wa Tarura hutembea kwenye Noah na wengine bajaji wanatengeneza pesa nyingi sana za rushwa kwa uonevu wao na mara nyingi hawapigi faini mnaelewana na wana vitisho sana.

Hata kama una haki watakusumbua sana. Mimi ningekuwa najua dawa ya kuwaroga ningewamaliza wote hawa maana wanaonea sana.
 
Wamekupiga ngapi? Umesaidia kukuza uchumi mahali. Kama siyo serikalini, basi kwa mtu binafsi. Changia maendeleo kwa kicheko.
 
Back
Top Bottom