TARURA na uzembe unaofanyika na mkandarasi Chato Street

fire and fury

Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
12
Reaction score
2
Mwezi wa sita sasa mkandarasi anawejenga njia ya maji taka hajafika hata mita mia. Inasemakana analindwa na wakubwa.

Kachimba Mashimo mpaka kuta za fence za wakazi zinaanza kubomoka na hakuna kazi inayoendelea.

Akiulizwa anasema yeye anakula na wakubwa hakuna wa kumgusa.

Nchi hii imerudi kwenye uozo.
 
sio chatu tanzania nzima hilikundi la kupiga mpunga tu
 
Back
Top Bottom