TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri!
Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
 
Masuala ya Tarura huwa hayaeleweki walisitisha kutoza parkinmg fees ili wakabidhi kwa Halmashauri kama ilivyoelekezwa lakini cha ajabu hadi sasa wanaendelea kuchukua hela za watu sijui imekaaje hiii
 
Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri!
Lipa tozo Dada.
 
Uhuni TU wanafanya
Sikuhizi hata ukisogeza gari pemben kuongea na sim,

Umetulia
Gar Bado iko silencer utamwona mdada anakubamdikia kirisiti kwenye kioo.

Inakera sana[emoji3525]
 
Back
Top Bottom