Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Mkuu kuuliza sio ujinga. Hivi force account inafanyaje kazi na ikoje hasa uhalali wake kisheria nk
Kwamba pia hakuna maelewano ya pricing si ndioForce account kwenye taratibu za ujenzi inaitwa In-house design maana yake wanafanyakazi wao wenyewe Kama Wana mitambo wananunua disel, na kutengeneza barabara bila kuweka mkandarasi.
Kwamba pia hakuna maelewano ya pricing si ndio
Nadiriki kusema Force Account inatumika na watu serikalini kiushabiki tu.Mkuu kuuliza sio ujinga. Hivi force account inafanyaje kazi na ikoje hasa uhalali wake kisheria nk