Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
- Thread starter
- #21
Hakuna wa kutusemea. Aisee na sahivi deni likizidi 20k nyororoMie nmeenda na gari jana posta gari inaangaliwa ina deni la 160k nmeingia benjamin pale ile narud kwenda kuchkua gar naikuta imepigwa cheni.
Kilichoniokoa ni confidence tu walivyoona ile suti na ongea yang wakajua mtu fulani mwsho wakala elf 5 yao ya soda nkachimba.
Sasa nilivyorudi ofisini nikaanza kucheki gari moja baada ya nyingine cha ajabu zote mpka moja tuloisajili last week tumeikuta na deni la 11k wakati haijawahi kutoka hata yard