Kuna kipande cha barabara Kibonde Maji, ambacho inasemekana linapita bomba la mafuta la TAZAMA kwenda ZAMBIA. Tulifurahi tulipoona wanaweka kifusi kwa ajili ya kuziba barabara ilivyoharibika.
Mara nyingine huwa nawaza kuwa Tanzania kuna mainjinia waliosoma kweli, hasa baada ya kuona mwisho wa matengnezo ya barabara hiyo ukweli inasikitisha. Ni kweli injinia mzima aliyesoma na digrii yake anaweza kutengeneza kwa kiwango hicho, na viongozi wahusika wamekaa kimya?