TARURA Temeke, matengenezo ya kipande cha barabara Kibonde Maji si yakuridhisha

TARURA Temeke, matengenezo ya kipande cha barabara Kibonde Maji si yakuridhisha

Nsibwene

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
227
Reaction score
160
Kuna kipande cha barabara Kibonde Maji, ambacho inasemekana linapita bomba la mafuta la TAZAMA kwenda ZAMBIA. Tulifurahi tulipoona wanaweka kifusi kwa ajili ya kuziba barabara ilivyoharibika.

Mara nyingine huwa nawaza kuwa Tanzania kuna mainjinia waliosoma kweli, hasa baada ya kuona mwisho wa matengnezo ya barabara hiyo ukweli inasikitisha. Ni kweli injinia mzima aliyesoma na digrii yake anaweza kutengeneza kwa kiwango hicho, na viongozi wahusika wamekaa kimya?
 
Inaelekea wamesikia, wameboresha kiasi, ila nangojea mvua inyeshe itakuwaje hapo
 
Back
Top Bottom