Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow
Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda kupokea fedha za TASAF alitakiwa kupokea 30000 lakini kakatwa pesa kabakia 12000 je hii ni sawa wahusika?
Fedha za Tasaf zinamakato pia? Walengwa hawafikiwi na misaada badala yake ninyi mabos ndio mnakuwa wanufaika hiyo sio sawa
Mnatumia kigezo gani kuandikisha watu?
Mwananchi ana kuku tu na nimasikini lakini mnaona hali yake lakini mnakata kuandikisha mnaenda kwa watoto kuwaandikisha ili mpate na ninyi chajuu ina maana gani kuwepo kwa tasaf?
Pia policy ya wazee kuhusu matibabu imeelezea kabisa lakini hao wazee hawapati izo huduma kwanini msiunde sheria na waziri husika unalijua ilo na umekaa kimya au kisa ninyi kwenye familia zenu hamna shida kabisa hii haijakaa sawa
Watu wa utafiti uko serikalini wanatafiti nini? Mbona matatizo uko vijijini yamekuwa mengi na hakuna matatuzi mtu anakufa uku ana bima ya afya manesi hawatak bima wanataka pesa kwanini huu utaratibu munautoa wapi? Niny ndugu zenu wakigua teyar mmewakimbiza nje na hawa masikini wanasaidiwa na nani?
===
Pia soma Waziri Simbachawene ashtuka, aagiza uchunguzi fedha za TASAF