Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Wanaongeza hakuna mtu anaweza kutumia 30000 kwa miezi mitatau wao wenyewe hawawezi kutumia hiyo helaTangu mfuko umeanzishwa, maskini wamepungua au wameongezeka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaongeza hakuna mtu anaweza kutumia 30000 kwa miezi mitatau wao wenyewe hawawezi kutumia hiyo helaTangu mfuko umeanzishwa, maskini wamepungua au wameongezeka!
Tatizo ni wanaofahamu kuwa huyo Mungu yupo, ni wachache sana duniani.Aisee, watu wanapiga hadi hela za TASAF!! Mwogopeni Mungu jamani😪
Mkuu,Hellow
Tasaf mmekuwa kero sana kwa wananchi hasa vijijini mnaandika majina yenu ndio mnakuwa mnapokea ninyi hii sio sawa hata kidogo jana nimeshuhudia mwananch akirudi analia baada ya kwenda kupokea fedha za TASAF alitakiwa kupokea 30000 lakini kakatwa pesa kabakia 12000 je hii ni sawa wahusika?
Fedha za Tasaf zinamakato pia? Walengwa hawafikiwi na misaada badala yake ninyi mabos ndio mnakuwa wanufaika hiyo sio sawa
Mnatumia kigezo gani kuandikisha watu?
Mwananchi ana kuku tu na nimasikini lakini mnaona hali yake lakini mnakata kuandikisha mnaenda kwa watoto kuwaandikisha ili mpate na ninyi chajuu ina maana gani kuwepo kwa tasaf?
Pia policy ya wazee kuhusu matibabu imeelezea kabisa lakini hao wazee hawapati izo huduma kwanini msiunde sheria na waziri husika unalijua ilo na umekaa kimya au kisa ninyi kwenye familia zenu hamna shida kabisa hii haijakaa sawa
Watu wa utafiti uko serikalini wanatafiti nini? Mbona matatizo uko vijijini yamekuwa mengi na hakuna matatuzi mtu anakufa uku ana bima ya afya manesi hawatak bima wanataka pesa kwanini huu utaratibu munautoa wapi? Niny ndugu zenu wakigua teyar mmewakimbiza nje na hawa masikini wanasaidiwa na nan?
Malipo huwa ni kila baada ya miezi miwili.Wanaongeza hakuna mtu anaweza kutumia 30000 kwa miezi mitatau wao wenyewe hawawezi kutumia hiyo hela
Mkuu mtu katoka ofisini na unamuona ana kuja na 12000 kakatwa unasema nini au unataka nikutajie kijiji?Mkuu,
Kwanza, pole kwa huyo mlengwa. Kuna receipt zinazoonyesha kiasi alichokipokea. Je, imeandikwa kiasi gani? Au umemsikiliza tu kuwa huwa anapokea kiasi hicho? Ungejiridhisha kwa kuangalia malipo yake katika awamu husika.
Pili, kiwango kinatofautiana kati ya Kaya na kaya, kutegemeana na idadi ya Wategemezi. Kama hana mtegemezi (kwa kipindi hiko), alikuwa analipwa 24,000 kwa miezi miwili. Wategemezi wana kiwango chao. Mfano watoto wanaosoma sekondari wana kiasi chao, wanaosoma msingi pia wana kiasi chao.
Lakini pia, huwa wanafuatilia. Kuna watu wanaandikisha watoto wanasoma lakini watoto hawahudhurii shuleni. Wakipitia wakiona, wanamuondoa.
Tatu, hela za TASAF hazina makato. Kuna njia tatu, wanaopokea CASH ambayo serikali inataka kuifuta kabisa kwa sababu ina mlolongo usioridhisha. Kuna wanaopokea kwa njia ya OTC, ambapo hawa wanaweka kidole na namba za NIDA na taarifa zao kusoma kwenye mfumo na hela kutoka papo hapo. Alafu wanaopokea kwa njia ya simu na bank. Huwa wanawekewa hela ya Makato.
Kama anapokelea benki, huko kuna makato na hata charges za mwezi husika. Sijajua kama benki washirika zilifikia muafaka wa kutengeneza akaunti maalum kwa kaya maskini.
Nne, alipokuwa anasaini kupokea fedha aliona ameandikiwa kiasi gani? Miezi yote haifanani, kwa sababu kuna wanaolipwa kiasi ambacho labda hawakuchukua dirisha lililopita. Lakini kwa muktadha wa 30,000 si sahihi.
Nini cha kufanya?
Kwanza, soma receipt yake. Jihakikishie hela iliyoandikwa. Angalia pia aina ya njia anayopokelea. Kisha trace, kama ni CASH imekula kwake. Kwa sababu huna uhakika wewe au yeyote kuwa kweli alipokea kiasi hicho.
Nilishafanya kazi nao, umaskini upo kwenye fikra zaidi. Mtu anachukua hela, anahakiki kisha anasaini. Lakini anafika sehemu anapiga gongo alafu anarudi hela haijatimia.
Kama ni njia ya benki, muombe receipt ya kutoa hela. Kama imetoka 12,000 basi. Kama hana basi Wakala kamgonga. Vivyo hivyo kwa simu, kagua miamala yake.
Kama zote zipo sawa, nenda naye ofisi ya Mtendaji wa Kata. Akajaze form maalum ya rufaa ya kutoridhika na kiasi husika. Mtendaji atawasilisha rufaa yakee manispaa na wao watawasilisha HQ.
Pia, mueleweshe hiyo hela ni ruzuku. Asilie sana. Ni huruma ya serikali. Akumbuke baada ya miaka mitatu anapaswa kutoka aingie mwingine.
Mbonq yule kaambiwa 3Malipo huwa ni kila baada ya miezi miwili.
Kuna ualakini. Ni kila baada ya miezi miwili. Si mitatuMbonq yule kaambiwa 3
Karatasi aliyopewa i wapi?Mkuu mtu katoka ofisini na unamuona ana kuja na 12000 kakatwa unasema nini au unataka nikutajie kijiji?
Pia kushtak kwa mendacious wakat wao pia ni wale wale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimkuta afisa wa tasaf mwembamba ujue ana kisukali
Anapokea cash na kuhus karatas anayo mwenyewe ila ukweli ni kwamba ninyi mnawapiga wananchi mnakula hela za wananchi kwakivuli cha kuwasaidia na kuwaweka watu wasio husika ukiata evidence kabis nitakupa location sio kijiji kimoja kina walalamikiaKaratasi aliyopewa i wapi?
Na ndio watu hao hao ambao wanaka kwenye tv wengine wakiruka sarakasi bunge kuonyesha wanaumia kuhusu umasikin wa wananchi wengine ndio hao msukuma kala honey hana kelelNchi watu ni wezi by nature
Ova
Una uhakika kaya yako imekidhi vigezo vya umaskini?Vigezo vya kuingia Tasaf ni vipi? Mbona kila nikiomba hawanipi, nakati naona nina kila haki..
Umenikosea sana Mkuu.ila ukweli ni kwamba ninyi mnawapiga wananchi mnakula hela za wananchi kwakivuli cha kuwasaidia na kuwaweka watu wasio husika
Tasaf hawakutoi kwenye umaskini mzee.Una uhakika kaya yako imekidhi vigezo vya umaskini?
Acha kuchora watu humu, wewe Si ndio Upo..... Una ..........Tasaf hawakutoi kwenye umaskini mzee.
Wana NUSURU kaya maskini,
Yaani umaskini umepitiliza wanaingilia kati kuokoa uhai.
Mimi hivyo vigezo vyote ninavyo, hawataki mpaka Nikufe?
OK sorry ila hao majamaa ni wezi ilo usikatae mkuuUmenikosea sana Mkuu.
Ninyi? So, I am within them robbers.
Mungu akusamehe. Nilikuwa natoa maoni ni kwa namna gani unaweza kumsaidia kujua tatizo nini ili apate msaada. .
Ila allegations zimenigeukia mimi.
Vunga, naona huna msaada.Acha kuchora watu humu, wewe Si ndio Upo..... Una ..........