K kanjuni Member Joined Aug 6, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Sep 17, 2012 #1 Habari zenu, wana JF? Naombeni kuuliza kwa wale walioomba kazi TASAF au wenye taarifa yoyote kuhusu shortlisting na interview kama imeshafanyika, kimya kimekuwa kingi.
Habari zenu, wana JF? Naombeni kuuliza kwa wale walioomba kazi TASAF au wenye taarifa yoyote kuhusu shortlisting na interview kama imeshafanyika, kimya kimekuwa kingi.
B Babu Ubwete Senior Member Joined Jan 26, 2008 Posts 169 Reaction score 31 Sep 17, 2012 #2 kuna dogo anaomba ajulishwe Qatar Airways, Enrich na Ewura wameshaita??? nawasilisha