Tasaf

Tasaf

kanjuni

Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
8
Reaction score
1
Habari zenu, wana JF? Naombeni kuuliza kwa wale walioomba kazi TASAF au wenye taarifa yoyote kuhusu shortlisting na interview kama imeshafanyika, kimya kimekuwa kingi.
 
kuna dogo anaomba ajulishwe Qatar Airways, Enrich na Ewura wameshaita??? nawasilisha
 
Back
Top Bottom