Tasher

Tasher

Je umebahatika kumiliki simu? Kama ndio embu fanya mkakati wa kuinipa hiyo namba tuone kama lolote laweza tokea
 
Kuna jamaa alitupia picha.. akaitwa mshamba... ila huyu demu kila mtu anaona alichokifanya ni sawa..
 
Hivi Mkuu huwa unajua vipi kwamba leo kuna mgeni wa KE jf? au una NEW COMER DETECTOR MACHINE?....yaani hakuna KE ambaye hukumkaribisha😀😀😀😀😀Ngoja niendelee kufikiri kwa nini umeniitia hii fursa maana ukiona fisi anakuletea mifupa basi ujue kuna hali ya hatari....sii jambo la kawaida kutokea
Niliomba subscription ya jukwaa zima la new comer..
 
I am humbled you knw? karibu bibie.
 
KUNA MADADA HUMU WATAKUWA WABAYA SURA HAWAWEKI PICHA ZAO KWENYE AVATAR BIG UP NATASHA KWAKUJIKUBALI
Kuna jamaa wa Geita sikumbuki vizuri maeneo gani, aliwahi kutupia nyago humu aiseeee......
Alishambuliwa kana kwamba paka mwizi, na fully kuzodolewa aiseeee, jamaa alichambuliwa kama mchele vile na mbaya zaidi wanaume ndio walikua wauaji wake wakubwa
 
Kuna jamaa alitupia picha.. akaitwa mshamba... ila huyu demu kila mtu anaona alichokifanya ni sawa..
Hii ndio jf mkuu, tuna jali sana jinsia pendwa hasa tukiwa nyuma ya keyboards
 
Back
Top Bottom