Tasisi za dini za kiisalamu bado zimelala hapa tanzania zikizungukwa na matapeli wakichangisha au kujipigia miradi.

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada.

Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
 
Mkuu hujaeleweka fafanua zaidi ili tuchangie mada.
 
Wanaaibisha dini yao kuonekana ni hohehahe kusaidiwa. Wapuuzi huwa wanasema dini yao ina matajiri wengi wafanyabiashara wakubwa. Si wakawaombe hao waumini wao matajiri wajengewe msikiti? Kuna makanisa mengi waumini wake ndio wanachanga wenyewe kujenga. Nini kinawashinda waislam kuchanga wenyewe wajenge msikiti wakati wana uwezo? Kutwa kuombaomba kusaidiwa
 
Wamekuomba kiasi gani?
 
Ukitaka changa ukitaka acha, Wakati nipo Ludewa kule miaka ile kuna mtu alileta mikeka na mazuria ya msikiti mzima.
Akayatandika bila kuonekana na kujulikana na mtu yeyote, watu walikuta tuu msikiti ng'ari ng'ari.
Waislamu unaambiwa tuu km unacho toa km huna ishia zako ila tutakuzika bila ya ngendembwe.
 
Back
Top Bottom