Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,011
Reaction score
1,681
Hello Wakuu,

Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini.

Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.

Kanjanja.jpg
 
Makosa hapo naona ni madogo sana ila tatizo ni kwamba yamefanywa na tasnia ambayo kuruhusu makosa madogo kama hayo ni jambo la kushangaza.
 
Makosa hapo naona ni madogo sana ila tatizo ni kwamba yamefanywa na tasnia ambayo kuruhusu makosa madogo kama hayo ni jambo la kushangaza.
Pamoja na makosa ya kiunadishi,hiyo Habari haieleweki
 
Naona maherufi makubwa makubwa yametamalaki[emoji1]
 
Back
Top Bottom