Tasnia ya Mpira wa miguu Kenya Vs Mpira wa miguu Tanzania

Tasnia ya Mpira wa miguu Kenya Vs Mpira wa miguu Tanzania

PerKnot

Member
Joined
Jan 15, 2018
Posts
69
Reaction score
87
Katika Afrika Mashariki ,watu wengi hupenda huu mchezo
Kwa ranki za kimataifa Afrika mashariki kwa timu ni uganda inayoongoza,ila kwa vilabu bado soka la Tanzania lina ushindani mkubwa , uwekezaji na wafatiliaji wengi kuliko nchi zote.Kwa upande wa Kenya mambo bado si mazuri inahitaji nguu kubwa na uwekezaji mkubwa

Rai yangu makampuni ya Afrika Mashariki yalione hili na kujikita kuwekeza na kujitangaza kupitia mpira .
Karibuni kwa maoni mbali mbali
 
Back
Top Bottom