Taswira nyuma ya kinyago

Taswira nyuma ya kinyago

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali kutoka kwa mamlaka?

Picha inayojaribu kutengenezwa ni pana na ina vipaji vya kila aina vilivyojaa usherati, ugangwe, na ubaradhuli pia. Vipaji vya "hewala bwana" havijaachwa nyuma, vimo tena kwa wingi!

Visasi? Hilo liko wazi kabisa. Je, unajua ni kwanini mmoja alipokea kipondo kikali kuliko wengine, zaidi ya umbwa mwizi? Ni kwa sababu ya ushindi mnono wa kanda yake. Hapa mchungaji amefurahi sana.

Yote juu ya yote, ni nani huyu mwenye taswira nyuma ya kinyago? (A face behind the mask) Huyu ndiye injinia mkuu. Ni fundi mzuri sana wa kutengeneza mashimo ambayo watu watumbukie. Ana roho mbaya, kama ibilisi anasubiri. Huyu ni yule kiongozi mtukufu wa majabali. Hakuna jabali lisilomjua huyu mtwa!

Wanaotajwa kwa sasa ni wengi na lawama nyingi zinamwelekea mama na mwana. Hawa si wazoefu wa hizi figisu. Hata hao watumwa wengine, mchongo mzima unatengenezwa na mkubwa wa majabali; wao ni watekelezaji tu.

Huyu ni hatari zaidi kwa sasa na wakati ujao kwa sababu:

  1. Bado ana ndoto kubwa.
  2. Kafanikiwa kuvaa kinyago.
  3. Kajisimika kwenye mgodi wa kaya.
  4. Anatekeleza mipango yake yote akiwa nyuma ya kinyago.
  5. Ni katili asiyejali wala kuogopa chochote.
  6. Kafanikiwa kwa asilimia 100 kumweka kiganjani bosi wake na anamuendesha atakavyo kutoka pande zote.
  7. Kajijengea mtandao imara sehemu zote kuanzia sungusungu mpaka mgambo.
  8. Kupitia mgodi wa kaya, kafanikiwa kujimegea na kujichotea vya kutosha, hivyo anatengeneza ushawishi na uungwaji mkono bila shida yoyote!
Laiti mama mkwe angejua, kikulacho ki nguoni mwake...! Taswira nyuma ya kinyago!

Good evening, Tanganyika..

20240814_220357.jpg
 
View attachment 3070979
Sikusoma post yako yote kwa sababu nimevutiwa sana na picha uliyoweka; namwonea huruma mwenye nyumba hiyo.
 
Hii kipande naomba kuwa jirani yako Mshana. Tutaroga kwa kwenda mbele
 
🥺🥺🥺
 
Kuna kajamaa kanajiita Katibeli kanakuwa kanajikuta kuandika kifasihi. Kaje kajifunze hapa, enewei

KIjana yule tangu alipopewa unaibu waziri, tukahitimisha tu njia ya uwaziri iko wazi na ikatimia. Alivyoondoka mwenda zake, alifuatwa na watu akiwa zizini kwake na kuambiwa bwana yule keshazimika hainuki tena, akahamaki. Alipohakikishiwa ni kweli, hata kuoga hakuoga, moja kwa moja mpaka Kijitonyama kuhakiki kama kweli kafumba na asifumbue tena na ndipo sakata la Dpw lilipoanzia kuja tunapopaona leo.
 
Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali kutoka kwa mamlaka?

Picha inayojaribu kutengenezwa ni pana na ina vipaji vya kila aina vilivyojaa usherati, ugangwe, na ubaradhuli pia. Vipaji vya "hewala bwana" havijaachwa nyuma, vimo tena kwa wingi!

Visasi? Hilo liko wazi kabisa. Je, unajua ni kwanini mmoja alipokea kipondo kikali kuliko wengine, zaidi ya umbwa mwizi? Ni kwa sababu ya ushindi mnono wa kanda yake. Hapa mchungaji amefurahi sana.

Yote juu ya yote, ni nani huyu mwenye taswira nyuma ya kinyago? (A face behind the mask) Huyu ndiye injinia mkuu. Ni fundi mzuri sana wa kutengeneza mashimo ambayo watu watumbukie. Ana roho mbaya, kama ibilisi anasubiri. Huyu ni yule kiongozi mtukufu wa majabali. Hakuna jabali lisilomjua huyu mtwa!

Wanaotajwa kwa sasa ni wengi na lawama nyingi zinamwelekea mama na mwana. Hawa si wazoefu wa hizi figisu. Hata hao watumwa wengine, mchongo mzima unatengenezwa na mkubwa wa majabali; wao ni watekelezaji tu.

Huyu ni hatari zaidi kwa sasa na wakati ujao kwa sababu:

  1. Bado ana ndoto kubwa.
  2. Kafanikiwa kuvaa kinyago.
  3. Kajisimika kwenye mgodi wa kaya.
  4. Anatekeleza mipango yake yote akiwa nyuma ya kinyago.
  5. Ni katili asiyejali wala kuogopa chochote.
  6. Kafanikiwa kwa asilimia 100 kumweka kiganjani bosi wake na anamuendesha atakavyo kutoka pande zote.
  7. Kajijengea mtandao imara sehemu zote kuanzia sungusungu mpaka mgambo.
  8. Kupitia mgodi wa kaya, kafanikiwa kujimegea na kujichotea vya kutosha, hivyo anatengeneza ushawishi na uungwaji mkono bila shida yoyote!
Laiti mama mkwe angejua, kikulacho ki nguoni mwake...! Taswira nyuma ya kinyago!

Good evening, Tanganyika..

View attachment 3070979
Nimekuwa nikivizia tokea Jana nione kama kuna atakayeondoa mabano lakini mpaka sasa nimetoka kapa. Sijaelewa hata kidogo.
 
mwambie mkwe amtaje huyo nyuma ya kinyago au nae anaogopa! kama anaogopa basi unamkwe muoga sana mnyang'anye huo ukwe!
.
Mkwe kama mkwe
Bubu
mwambie mkwe amtaje huyo nyuma ya kinyago au nae anaogopa! kama anaogopa basi unamkwe muoga sana mnyang'anye huo ukwe!

Hiyo SMG yenye kutu na haijawekewa oili kwa karne haifanyi kazi tena; ni mbwembwe tu lakini huenda haina hata risasi.
20240816_141310.jpg
 
Back
Top Bottom