Mpaka leo hujajua lengo la shule za kata.?! Pole sana.
Kwa kifupi shule za kata zipo kwa ajiri ya kupunguza population (Population Control). Fikiria mtoto angemaliza darasa la 7 akiwa na umri wa miaka kati ya 14-15, lazima idadi ya watoto atakaozalisha itakuwa kubwa sana ukilingansha na atakae soma mpaka form four.