Taswira ya elimu tanzania

Taswira ya elimu tanzania

Joined
Dec 29, 2013
Posts
19
Reaction score
5
Uwepo Wa shule za sekondari za Kata ni kiashilio cha kukua kwa sekta ya elimu, wasiwasi wangu elimu inayotolewa kweli inamuandaa kijana huyu kukabiliana na mazingira ya kielimu kwa miaka kumi ijayo?
 
Mpaka leo hujajua lengo la shule za kata.?! Pole sana.
Kwa kifupi shule za kata zipo kwa ajiri ya kupunguza population (Population Control). Fikiria mtoto angemaliza darasa la 7 akiwa na umri wa miaka kati ya 14-15, lazima idadi ya watoto atakaozalisha itakuwa kubwa sana ukilingansha na atakae soma mpaka form four.
 
Back
Top Bottom