Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yahaya unaishi wapi?Aisee hili jina hata wazazi kuwaita Watoto wao imepungua sana mimi hata nikutane na mtu Anaitwa Daudi nakuwa sina imani nae, Ni kama Jaydee alivokuja kuchafua jina la Yahaya
Kuna jamaa angu anaitwa Daud Albert hahaha Ndio simuamini kabisaaa