Taswira ya Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563

Kwa kile kinachoelezwa kukwama tena kwenye mchujo wa kuwania ubunge Jimbo la Kongwa kupitia CCM ilivyozua gumzo, zikiwa zimepita siku chache tu baada ya kutoa kauli yake kuwa Yanga ilichangia milioni 100 kwenye harambee ya chama hicho.
Jambo lililomuibua Afisa Habari wa klabu hiyo Ally Kamwe kupinga, ingawa Katibu wa CCM Wilaya ya Kongwa, Joyce Mkaugala, amenukuliwa chombo kimoja cha habari nchini humo akithibitisha kuwa Hersi ni miongoni mwa majina 11 yaliyokatwa katika mchujo, ikionekana kama mara ya pili kwa Hersi kuangukia pua katika harakati za kisiasa, baada ya awali kushindwa kwenye mchujo wa ubunge Jimbo la Kigamboni. Wadau wa soka mpo? na wa siasa je ?

Source : DW
 
Huyu dingi aachane na siasa tu yeye atulie zake yanga Ale maisha aibe ibe pale asogeze siku


Halafu huyu Msomali anachokitfuta atakipaata watu wanajua ni msomali na wametulia tu nadhani huyu jamaa ana kauchizi watamuumbua ikitokea ameshinda bora atulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…