Tata vs Eicher

Tata vs Eicher

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Naomba ushauri,

Nataka ninunue mabasi ya kusafirishia abiria kati ya miji miwili ambayo ipo umbali wa kilomita 200. Wazo napata nininue kati ya TATA na Eicher zile kama za UDA.

Naomba kujua tofauti zao kwa wale wanaojua.
 
Tata ni durable zaidi ya eicher. I'm talking from experience.
 
Back
Top Bottom