Tataizo la jeshi letu siasa zimekuwa nyingi na pia wanaenda wasomi waliofaulu vizuri ambapo wanasaka vyeo tu

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi.

Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake.

Imagine mtu ana div one tena PCB anaenda jeshi unategemea huyo kweli ndege izame ajihangaishe kwenda kuokoa?

Tafuteni vijana waliofeli feli ili wapige kazi kwani kwao hamna option nyingine zaidi ya kuchapa kazi tu.
 
Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi.

Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake.

Imagine mtu ana div one tena PCB anaenda jeshi unategemea huyo kweli ndege izame ajihangaishe kwenda kuokoa?

Tafuteni vijana waliofeli feli ili wapige kazi kwani kwao hamna option nyingine zaidi ya kuchapa kazi tu. Ni sawa na mtu anakuwa Padre amefauli kwa div one form six lazima atakula masista tu mana hatazama Sana kwa sababu ana options nyingi.
Mmh!!
 
Naisoma hii habari like kama Joti akiwa amevaa lile suruali lake anajifanya mtoto wa mjin anaongea kwa msisitizo na mikono huku mship umemtoka 😂😂😂
 
Back
Top Bottom