Tathmini fupi mechi ya Yanga vs Mashujaa

Tathmini fupi mechi ya Yanga vs Mashujaa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Coach Saed Ramovic Sasa tumeanza kumwelewa
Wachezaji wa Yanga wameongeza fitness

Prince Dube
Hat trick ya kwanza kwenye NBC pl mwaka huu, nilimwambia ni suala la muda
Sasa naamini tumemwona top scorer wa ligi, sio mpaka avizie kufunga penalties

Job & Bacca
Wamefanya vyema kama kawaida Yao, wametia mchezo mzuri

Duke, Sure boy, mudathir
Wamecheza wastani, hawakucheza vizuri wala vibaya

Aucho
Huyu mchezaji naona kama ana uchovu, hana ule uchangamfu na uharaka,
Uongozi uingie sokoni utuletee mkabaji

Azizi ki
Amekuwa na fitness Leo sio kama siku za nyuma, naamini atarudi kwenye kiwango chake,

Pacome
Amecheza vizuri na ametoa assist nzuri

Kohmen
Huyu goal keeper namuamini,
Leo hakuwa na mchezo mzuri kabisa, ndo mpira ulivo ameruhusu goli zote za kizembe lakini ni kati goal keeper mzuri mno

NB: Tusiringanishe Mashujaa na Ken Gold, wale wanashika mkia

Yanga bingwa
 
IMG-20241207-WA0005.jpg
Twafaa
 
Back
Top Bottom