Pre GE2025 Tathmini: Katika Majimbo 31 ya Kanda ya Nyasa, CHADEMA ina Uhakika wa kushinda Majimbo 20 Likiwemo Jimbo la Kyela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema imekufa
 
Powh ntawatafuta maana hizo ndo Kazi zangu .

So niwacheki katika mitandao yao ya kijamii?

Nitakutafuta mwezi ujao, kwa nia ya kutengeneza timu imara za kutoa elimu Kanda ya Nyasa.

I mean it.
 
Ukiwa na ndugu au rafiki anakuambia yeye ni CCM Moja Kwa Moja anakuambia yeye ni mpumbavu muonee huruma HAJITAMBUI.
 
kati ya mwaka ambao chadema watapoteza, 2025 ni mojawapo. mark my words.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…