Tathmini na tafsiri ya uteuzi wa Baraza la mawaziri

Nyashaho Siyo mzanzbar mei 2025 aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa Psssf,,ni mtanganyika mwenye akili sana,,wengi walitarajia angekuwa waziri wa fedha kutokana na historia yake
 
Nyashaho Siyo mzanzbar mei 2025 aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa Psssf,,ni mtanganyika mwenye akili sana,,wengi walitarajia angekuwa waziri wa fedha kutokana na historia yake
Ni hatari kwakweli
 
Mie nachanganya na yule mkugenzi aliyekufa kwa ajari ya gari, kaacha watoto 15, si walisema nae mtia nia.

Nilistuka nilipoona jina hili, nikasema kheeeh hakufa au. Lol
Hahahahaha..yule anaitwa nyamhanga gisima,
Sema wote walikuwa tanesco..nyansaho alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa tanesco, huyo gisima alikuwa mkurugenzi mkuu wa tanesco na wote ni kutoka mkoa wa mara..mmoja wilaya serengeti mwingine bunda
 
Ana toka Kanda maalum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…