Tathmini "Nakaza roho-Chidi Benz vs Salamu zao "Ney wa Mitego"

Tathmini "Nakaza roho-Chidi Benz vs Salamu zao "Ney wa Mitego"

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Kama ushawahi sikiliza hizi nyimbo nani mkali?

w430.68de7_35a8d617ec0a2f0b70fb259a078339ca.jpg
VS
nay-wa.jpg

kwangu naona Chidi benzi kafunika
 
Nyimbo zenyewe mbona hazifanani? Chid anaimba RnB wakati Neema anaimba taarabu.
 
Nyimbo zenyewe mbona hazifanani? Chid anaimba RnB wakati Neema anaimba taarabu.
kama hujui wanaimba nini lazima mziki wako utakuwa ule wa kunyonya mayki na pichu ikiwa chini ya goti unasubiri tu utalii wa wa mambo ya ndani
 
ngoma zote kali sema maudhui ya hizi nyimbo mbili haya fanani so sio rahic kucompare songs which dont share themez
 
Back
Top Bottom