and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Tulipata audience na wawekezaji serious? Mikataba gani tulisaini? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?