Tathmini ushiriki wetu Dubai Expo 2020

Tathmini ushiriki wetu Dubai Expo 2020

Pigaaaaaaaaaaaaaaaa kima nyie mliambiwa mnauzwa mkaanza kutoa mipovu ooh sijui anaupiga mwingi sijui takataka gani, vuneni mlichopanda wawauze hadi makabri ya wazee wenu nyambaf sana.
 
Haya, Baada ya Bandari, Tanesco, Je Ipo wapi IGA ya Tanesco?
Kwenye Expo Dubai, zimesainiwa MoU 30!. Unazijua ni zipi?.
Tunakwenda mdogo mdogo, tumeanza na Bandari, baada ya hizi kelele za IGA ya Bandari, sidhani kama itapelekwa IGA nyingine yoyote!. Sasa mambo ni HGA tuu, huwa ni siri na kimya kimya.

Mimi msimamo wangu ni wazi Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?
P
 
tumeanza na Bandari, baada ya hizi kelele za IGA ya Bandari, sidhani kama itapelekwa IGA nyingine yoyote!. Sasa mambo ni HGA tuu, huwa ni siri na kimya kimya.
Ninachokijua according to various sorces , ni kwamba, IGA's zaweza kuwa siri au lah na inategemea na Uzito wa makubaliano ya nchi zilizoingia mkataba huo, hatahivyo kwenye siasa za Uwazi ambazo Serikali hii imekuwa ikijinadi, sioni ubaya ikiwa mikataba hiyo itawekwa wazi kwa Umma, au tumegewe malengo angalau kwa muhtasari wa yatakayojiri katika makubaliano hayo.

Hatahivyo sikuwa najua IGA huwa ni siri Tanzania.

Itakuwa ni busara kwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi kuyaweka haya makubaliano thelathini na ushee ya Dubai Expo ya uwekezaji katika sekta mbalimbali hadharani, hususani la TANESCO pia hadharaniambayo yanakadiriwa kufikia $1.7 billion!(kiujumla), hakika ni fedha nyingi sana ukilinganisha na mapato yetu na leverage inayokuja na kiwango hicho cha fedha, kufungua milango ya rushwa.
Nadhani, in goid faith Umma uhusishwe.
 
Back
Top Bottom