Una uhakika? Sekta ya kilimo tumesecure masoko bila kusahau 👇Kama KawAida Tumekwenda Tumerudi
Tunangoja Bwana Bure Atupe Chochote
Hongera sana kwa mafanikio haya
Naunga mkono hoja.Maonyesho tajwa yameisha (yalianza Oktoba 2021 mpaka Machi 2022) je Kama nchi tumevutia wawekezaji kiasi gani? Kuna ambalo tumejifunza huko? Tunaweza kuanza kufikiria Dar Expo 2090?
View attachment 2179103
Ha ha haNgoja tuone miongozo...
Yametupeleka... hebu sikizaMaonyesho tajwa yalipaswa kutupeleka mbele