Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Haya, Baada ya Bandari, Tanesco, Je Ipo wapi IGA ya Tanesco?Yametupeleka... hebu sikiza
P
Kwenye Expo Dubai, zimesainiwa MoU 30!. Unazijua ni zipi?.Haya, Baada ya Bandari, Tanesco, Je Ipo wapi IGA ya Tanesco?
Ninachokijua according to various sorces , ni kwamba, IGA's zaweza kuwa siri au lah na inategemea na Uzito wa makubaliano ya nchi zilizoingia mkataba huo, hatahivyo kwenye siasa za Uwazi ambazo Serikali hii imekuwa ikijinadi, sioni ubaya ikiwa mikataba hiyo itawekwa wazi kwa Umma, au tumegewe malengo angalau kwa muhtasari wa yatakayojiri katika makubaliano hayo.tumeanza na Bandari, baada ya hizi kelele za IGA ya Bandari, sidhani kama itapelekwa IGA nyingine yoyote!. Sasa mambo ni HGA tuu, huwa ni siri na kimya kimya.