Tathmini wa wanasiasa bora 2024

Hapo kwa Makonda umechemka,Bado hajasafika kwa tuhuma ya Tundu Lissu!
 
Mheshimiwa Naibu waziri mkuu Dotto Biteko...
(though he's not such a politician)
 
Naomba mtoe Mbowe amlamba asali.
 
Kuwa kiongozi wa chama Kama Mbowe huku unasapotiwa na watu mil 15 ukiwa upo visionary unaweza kufanya mambo makubwa kuwazidi hata hao waliopo madarakani .


Ndo maana tumeamua kumpunzisha Mbowe Kwa kosa la ku-decline responsibility.
Nimemuondoa kwenye list huyo mbowe hafai kupewa heshima yoyote kwenye siasa za Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…