Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

Sasa kama wamepiga kura ya Siri?

Kama kweli hizo kura ni siri we umejuaje wamepiga za NDIYO??
Kura ni siri ila mpiga kula lazima ajulikane. Acha kujitekenya hapa, WATAJE HAO UKAWA WA CUF WALIOPIGA KURA.
 

We ni sawa na kinyeo.
 
Kura zote za Siri zimepiga kura ya NDIYO. Japo kuna baadhi ya wabunge wamepiga kura ya HAPANA kwa baadhi ya Ibara ila kwa jumla yake za Siri zote zimepiga kura ya NDIYO.

Huu sio mwandiko wa huyo mzee wako aliyekufanya msemaji wa BMK? na hapa alikuwa anazungumzia kura zipi kuwa nyingi, za nyumbani kwake yeye na Mage? Acheni kuwafanya watu wajinga, Kenya upuuzi huu huu ndio umebadili historia ya nchi na mpaka leo viongozi wakuu bado wanaenda The Hague.
 

View attachment 189646
 
Si pigo kwa UKAWA bali pigo kwa watanzania zaidi ya 40milioni ambao si wanachama wa CCM na katiba si mali ya CCM, UKAWA, CUF, NCCR wala CDM ni mali ya wa Tanzania waliotoa maoni yao kupitia tume ya Warioba labda kama Warioba na timu yake waliandika maoni yao badala ya wananchi
 
Kwa nini CCM mnakuwa waongo kiasi hiki ?

Mbona Sitta hajataja huyo mtu aliyemfungia na iwapo amekamatwa na Polisi au la !. Yeye mwenyewe kasema ni jinai na wakati huo huo kadai Polisi wameenda kumuokoa huyo mtu.....

Sasa aliyemfungia yuko wapi ? Na kwa nini hajakamatwa ?

Hahahahahaaaaa. UKAWA bana. Eti wanamfungia mbunge asipige kura
 
Mwakilishi halali wa watanzania ni CCM
 
Vitu vyote ambavyo umekuwa unavisema tangu Jtatu vimekwenda completely kinyuma na ulivyosema ! Je hauoni kuendelea kutuambia vitu kama hivi hivi mfululizo, kutatufanya sisi tukuone wewe kuwa ni taahira ?!

 
Sasa haya masihara Chabruma !

Angeongea mtu wa mtaani, ningemwelewa, lakini wewe unayedai upo Bungeni you should be at least serious !

Hivi kweli unataka kuniambia kwamba hujui mjumbe anayepiga kura hawezi kuwa wa siri ? Hakuna mjumbe wa siri ila kuna kura ya siri !

Mjumbe anatambulika kwanza na ndipo anapiga kura ya siri au wazi na hata walio nje ya Bunge nao wanatambulika kwanza na ndipo wanapiga kura ya siri au wazi na ndio maana mwenyekiti Sitta alitangaza majina ya wale 23 watakaopiga kura nje ya Bunge !

Sasa hapa unaongea kitu gani ?

Sasa kama wamepiga kura ya Siri?
 
Yuko wapi Mwanasheria Mkuu wa Znz? Amesindikizwa kama Jumbe mwaka 1984 ?
 
Jamani haya maajabu yanatokea Tanzania tu; yawezekana vipi mtu kupiga kura moja mara mbili? Nijuavyo kura zipo za matokeo matatu-NDIYO, HAPANA, KUHARIBIKA.

Sasa suala la BMK na wajumbe kurudia kupiga kura maana yake ninhi? Au ndio kuhalalisha matumizi ya mabilioni waliyotumia kwenye BMK?

Wizi mtupu!
 
Hii CCM naona imekuwa ya Konda Chabruma na Babake 6 tu! Iwe bungeni au kwenye mitandao wewe ndo unajifanya mzalendo sana. Unajua unafanya hayo kumuokoa 6 lakini tambua kuna vijana wenye uwezo mkubwa tunaumia sana kusikia eti wewe unatuwakilisha vijana bungeni. Ni lini na wapi tulikutuma. Badilika ndugu yangu hata kama ni kujipendekeza wewe umezidi!
 
Mkuu Chabruma nasikia mwanasheria mkuu wa Zanzibar baada ya kuwaumbua kwa kura ya hapana mumweka kizuizini

Mwanasheria mkuu wa Zanzibar mwenye kaunda suti ya kijivu akisindikizwa kutoka nje ya viwanja vya bunge leo mjini Dodoma na askari polisi
 
Hahahahahaaaaa. UKAWA bana. Eti wanamfungia mbunge asipige kura

> We ni juha kweli, so mmeshinda au nyie majuha tu your days are numbered hili Taifa siyo la baba yako CCM ni la wote wenye vyama na wasiyo kuwa navyo wenye uchumgu na rasmali za Taifa lao fanya yenu hayo ila mkijua Taifa hili tutalipigani kwa mikuki na mishale bunduki na damu zetu hamtadumu milele tutakufa na nyie majuha wa CCM "IDIOT"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…