Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama wamepiga kura ya Siri?
Mkuu, zile kura za siri zote zimehesabiwa na matokeo yake yanajulikana. Rasmi yatatangazwa hapo kesho
Eti huyu ndiyo Sitta anayetaka uraisi, yaani mtu wa kiini macho namna hii hatufai,.lazima mjifariji na mtafute kila namna kuupamba uongo
Tunachojua ni kuwa katiba imebuma kura 7 plus za siri za hapana plus Mwanasheria wa Zanzibar
Kwa kawaida Takwimu rasmi zinatolewa na wenye mamlaka. Hizi ni takwimu zinasosemekana kwa vile nilikuwa naokoteza
Kwa vile hunijui, ni haki yako kujiuliza maswali hayo
Mkuu unazungumzia maridhiano gani ukwa walikataa kila kitu wakiitwa kwenye vikao hawataki sasa maridhiano gani.Hata hivyo chabruma,kama hii Katiba itapita,ujue ni ya kulazimisha,si ya maridhiano,kwahiyo huenda haitadumu au itatuletea tu shida hapa tz.
Na watazomewa sana Mwaka huu pamoja na babu yao WariobaKuanzia leo naanza rasimi kuwazomea ukawa popote ntakapo kutana naye.
Hujasomeka mkuu. Unataka Sitta awasujudie maaskofu wanafiki?Hivi kweli huyu Six anathubutu kuingia kanisani na kusema anampigia Mungu magoti? Kama anafanya hivyo atakuwa ni Mungu pesa. Kumbe akina.Farao wakingali wakiishi katika zama hizi.
Walikataa mpaka maridhiano ya JK licha ya kunywa Juice yakeMkuu unazungumzia maridhiano gani ukwa walikataa kila kitu wakiitwa kwenye vikao hawataki sasa maridhiano gani.
Sasa kama wamepiga kura ya Siri?
Hivi kweli huyu Six anathubutu kuingia kanisani na kusema anampigia Mungu magoti? Kama anafanya hivyo atakuwa ni Mungu pesa. Kumbe akina.Farao wakingali wakiishi katika zama hizi.
Kwa kawaida Takwimu rasmi zinatolewa na wenye mamlaka. Hizi ni takwimu zinasosemekana kwa vile nilikuwa naokoteza
Kwa vile hunijui, ni haki yako kujiuliza maswali hayo
Hujasomeka mkuu. Unataka Sitta awasujudie maaskofu wanafiki?
Unajua wee Chabruma una akili za kitoto sana!
Je kura za siri umejuaje kama zote ni ndiyo?
Unajua kilichowafanya wakapiga kura za siri?
Nani kakuambia kuws wanarudia kupiga kura?
Dalili za wazi kuwa Sitta kaanguka vibaya huzioni?
Mumehangaika kumleta AG wa Zanzibar kawaumbua kweupee!
Mwambie mhuni mwenzako Sitta aache kushupaa na akubali matokea mchakato usubiri kama alivyofanya Kikwete!
Mwisho naomba kesho ushuhudie bunge likivunjika lenyewe asubuhi na ndiyo mwisho!!
Huku mtaani tutakuwa tunatembeza bakora tu hadi mrudishe hela washenzi nyie!!!
UKAWA and Bavicha are among of those irresponsible citizen of our country!"The world wide impossible politics are possible in Tanzania".
The reason is that,majority of the electorate in this country is comprised of "irresponsible citizen"and this is why the rulers do whatever they want without fear of being voted out of power.
By mimi.