Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DONDOO MUHIMU ZA ZOEZI LA UPIGAJI KURA
* Idadi ya Wabunge ni 629
* Wabunge wa Tanzania Bara ni 419
Wabunge wa Zanzibar ni 210
*Akidi inayotakiwa kwa Tanzania Bara ni 280 na Zanzibar ni 140
Waliopiga kura Bungeni kwa Tanzania Bara ni 332 na Zanzibar ni 143
*Kura za HAPANA Bungeni ni 6 kwa Zanzibar na 1 kwa bara. Kati ya hizo 6 za Zanzibar, 2 zinabaki hivyo kwa vile wabunge wameondoka Dodoma. Hizo 4 zilizobaki zitabadilika baada ya wahusika kupiga kura upya hapo kesho
* Kura za Mtandao za Zanzibar nje ya kura 2 za UKAWA zipo 8 na zote ni za NDIYO. Kwa upande wa Bara, za Mtandao zipo 18 ambazo zote ni za NDIYO
* Wabunge wa UKAWA waliopiga kura za Mtandao ni wawili na wote ni wa Zanzibar Wote wamepiga kura ya NDIYO.
* Mwanasheria wa Zanzibar kapiga kura ya NDIYO kwa Ibara nyingi. Hili nalo ni pigo kwa UKAWA kwani waliamini kuwa wamefanikiwa kumshawishi ajitoe kwenye Kamati ya uandishi na asipige kura
* Idadi ya Wabunge wote waliopiga kura ni 503. Kati ya hao, wabunge 350 ni wa Tanzania Bara na 153 ni wa Zanzibar
* Kura zote za Ndiyo ni 496. Kati ya hizo, za bara ni 349 na Zanzibar ni 147.
* Kura zote za HAPANA ni 7. Kati ya hizo ya bara ni 1 na Zanzibar ni 6
* Ziada ya kura baada ya kupatikana akidi kwa kura za NDIYO ni 69 kwa Tanzania Bara na 7 kwa Zanzibar.
Leo muda mfupi uliopita Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud baada ya kupiga kura ya wazi ya Hapana kuhusu katiba amekamatwa na watu wa idara ya usalama na sasa yupo njiani akirejeshwa Zanzibar kama ni kweli anapeleka Zanzibar ama Mambwepande .......
Hali hii ni ya hatari na Dodoma tayari kuna tayahari kubwa sana , ila hali inawez kuchafuka wakati Wowote visiwani Zanzibar kutokana na uonevu huu ambao unafanywa na watawala wa CCM .
Updates:
Hali ilikuwa mbaya Sana mara baada ya kupiga kura kwani abunge wa CCM znz walitaka kumpigia ndio akalazikima kutolewa ukumbini chini ya ulinzi mkali na kufungwa kwenye ofisi moja akiwa ameandamana na Pandu Ameir Kificho, Balozi Seif Idd, Nahodha , Pinda na baada ya muda aliondolewa hapo Akiwa ameandamana nafPandu Kificho kwenye gari yake kupitia lango la Waziri Mkuu akiwa ameambatana na msafara wa maafisa usalama, na kupelekwa Airport ......
Inasemekana amepelekwa airport yadDodoma , ila not yetdconfirmed ,,,,,
more to come .
Kwani kukataa kwake vifungu hivyo kutaathiri nini kupata katiba mpya? By the way kuna hatua nyingine ya mashauriano. Atakaa sawa tuUmeona vipengele alivyokataa na uzito wake?
Mwisho nikwambie kuwa hakuna akidi na kuipata ni ndoto.Sitta ameshakubali kuwa yeye ni mwehu ma mjuha wa kijinga!
Huna akili wewe!!
Onyo! Epuka uzushi. Soma Updates za yanayojiri Bungeni leoMkuu Chabruma hivi kwlei nina sababu ya kuendelea kukuamini kweli kutokana na habri hii hapa chini?
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-akamatwa-baada-ya-kupiga-kura-ya-hapana.html
Mchakato wa katiba mpya ni vita. Usifikiri mtaachwa tu mnacheza rafu zenu. Kwa nini muwafungie watu ili wasioige kura?Chamruma Hivi Utaweka Wapi Macho na uso wako kwa watanzania mechakachua Maoni ya wananchi wananchi tumewangalia tu sasa mejipigia hesabu za wongo tumewangalia tu hivi mnajua mlitendalo kweli? Tukutaneni barabarani ndio mtajua tunachofikiria juu yatanzania ya kesho... Viva Ukawa
Kwa vile hunijui, ni haki yako kujiuliza maswali hayoHii ni propaganda ya kuhalalisha wizi wa kura,umefikiaje hitimisho wakati kura za siri matokeo bado?!!
Umejuaje kura za fax na emails kama hujatumwa kuandika mazingira ya kuhalalisha ushenzi wa CCM na vibaraka wake??!!
Neno kujidanganya linaweza kuwa na matumizi makubwa safari hii zaidi ya nyakati zingine zile.Umeona vipengele alivyokataa na uzito wake?
Mwisho nikwambie kuwa hakuna akidi na kuipata ni ndoto.Sitta ameshakubali kuwa yeye ni mwehu ma mjuha wa kijinga!
Huna akili wewe!!
Mkuu, hicho mnachokiamini Sitta na timu yake wamekishtukia. Tatizo mlimwaga mboga kwa matarajio kuwa mnabaki na ugali then mle hata kww chumvi. Sitta kawanyang'anya huo ugali mnabaki kutapatapa tuBdo kdgo tu hii thread utaitafuta uifute manake ulichokiandka ndcho ulichokiwaza kingetokea lakn hakitokei.
Tatzo lenu hamtaki kuamin kua mnaanguka tena anguko kuu mfano wake cjaona, hivyo mnabak kutupa ndoto za alinacha hapa
DONDOO MUHIMU ZA ZOEZI LA UPIGAJI KURA
* Wabunge wa UKAWA waliopiga kura za Mtandao ni wawili na wote ni wa Zanzibar Wote wamepiga kura ya NDIYO.
*Tumpambe Sitta Mauaaaaaaaaaaaa!
Tuondolee maneno ya saloon hayaNeno kujidanganya linaweza kuwa na matumizi makubwa safari hii zaidi ya nyakati zingine zile.
ccm wananikumbusha dada mmoja Mwafrika aliyependa sana uzungu na akaona njia ya mkato ni kujipaka mkorogo. Baada ya kuona ule weupe akajipongeza kwa sherehe kubwa kuwa "mimi sasa ni mzungu" kana kwamba ilikuwa dhambi kuwa mweusi!
Hivi kuna anayeweza kushindana na UKWELI!?