Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

Tathmini ya Chabruma Juu ya Upigaji Kura BMK, Chereko kwa CCM, Kilio kwa UKAWA,AKIDI KIULAINI

yaani. CHABURUMA umewezaje kutabiri zile kura zoote za siri ni za ndio??
kweli we ni zaidi sheh yahaya...
_na je umewezaje kutabiri kuwa waliopiga HAPANA live woote watabadili msimamo yao na hasa ikiwa wananchi wameshawaona live kuwa walipiga za HAPANA???
_nakushauri acha kuchukulia mambo kirahisi hivyo mkubwa
Mkuu, zile kura za siri zote zimehesabiwa na matokeo yake yanajulikana. Rasmi yatatangazwa hapo kesho
 
We jamaa ni muongo mkubwa, sijui unapata faida gani kuja hapa kuandika uongo. Hivi kama hiyo akidi imepatikana kwanini hawa waliopiga kura ya hapana watishwe!? Wewe ni mtu wa hovyo sana.

“Baada ya kupiga kura za hapana leo (jana), walijitokeza wajumbe akiwamo (jina tunalihifadhi kwa sasa) wakaanza kutuzongazonga,” alisema Salma.

“Walituambia kuwa tumebaki hadi dakika ya mwisho halafu tunasema hapana kwa rasimu nzima ili kula fedha za bure, wanasema bora tungeondoka na Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi).”

Hahahahahaaaaa. UKAWA bana. Eti wanamfungia mbunge asipige kura
 
Kura zote za Siri zimepiga kura ya NDIYO. Japo kuna baadhi ya wabunge wamepiga kura ya HAPANA kwa baadhi ya Ibara ila kwa jumla yake za Siri zote zimepiga kura ya NDIYO.

Wakati kura zote zinahesabiwa wewe ulikuwepo? Umetumwa kuleta upotoshaji humu JF.
 
Chabruma uliniudhi juzi wakati unaongea bungeni eti sisi wana JF tumekuttuma!
Ningekuwa hapo bungeni ningekunasa kibao cha matakoni.
Hahahahahaaaaaa! Jamiiforums ndo imemtengeneza Chabruma. Siwezi kuisema kwa ubaya wala kuishambulia. Hili ni jukwaa huru ambalo wengi tunalitumia kutua mizigo inapotuelemea. Pia hiki ni kipumulio cha wanyonge
 
Wakati kura zote zinahesabiwa wewe ulikuwepo? Umetumwa kuleta upotoshaji humu JF.
Nipo Dodoma nikifuatilia mchakato huu kwa ukaribu. Nimekuwa nikiripoti humu yale yanayojiri kila siku. Nina wadau wengi ambao wananipa taarifa za ndani ya Bunge. Jukumu langu ni kuwamwagia humu yale yaliyo sahihi
 
We jamaa ni muongo mkubwa, sijui unapata faida gani kuja hapa kuandika uongo. Hivi kama hiyo akidi imepatikana kwanini hawa waliopiga kura ya hapana watishwe!? Wewe ni mtu wa hovyo sana.

"Baada ya kupiga kura za hapana leo (jana), walijitokeza wajumbe akiwamo (jina tunalihifadhi kwa sasa) wakaanza kutuzongazonga," alisema Salma.

"Walituambia kuwa tumebaki hadi dakika ya mwisho halafu tunasema hapana kwa rasimu nzima ili kula fedha za bure, wanasema bora tungeondoka na Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi)."
Mkuu, kwa siasa za Zanzibar, hilo ni jambo la kawaida. Si umeona leo jinsi Mwanasheria Mkuu wa Zenji alivyoipata fresh? Wale wanapeana makavu live. Ila ukweli ndo huo nilioandika
 
Hahahahahaaaaa. UKAWA bana. Eti wanamfungia mbunge asipige kura

Mkuu unatia huruma sana. Kila andishi unaloleta jamvini ni kutaka uonewe huruma ww na CCM yako.

Alafu hivi ile dhana ya wajumbe au wabunge wa CCM kusimama na kudai kwa niaba ya jimbo langu, au wananchi wangu wamenituma, nipige kura ya ndio ikoje Mkuu. Katika hali ya kawaida mbunge anawezaje kutoka kifua mbele kudai wananchi wake wamemtuma apige kura ya NDIO, na wananchi hao hao walimwambia Warioba wanataka haki ya kumuajibisha anapovurunda?

Hao wananchi anawapigia kura ya ndio ni watanzania hii au wa nchi gani Mkuu!!
 
mkuu usimshangae chabruma kwani sifa moja ya kuwa mwana ccm ni kujitoa ufahamu ndio hivyo kashatumika afanyaje?

yaani. CHABURUMA umewezaje kutabiri zile kura zoote za siri ni za ndio??
kweli we ni zaidi sheh yahaya...

_na je umewezaje kutabiri kuwa waliopiga HAPANA live woote watabadili msimamo yao na hasa ikiwa wananchi wameshawaona live kuwa walipiga za HAPANA???
_nakushauri acha kuchukulia mambo kirahisi hivyo mkubwa
 
yaani. CHABURUMA umewezaje kutabiri zile kura zoote za siri ni za ndio??
kweli we ni zaidi sheh yahaya...
_na je umewezaje kutabiri kuwa waliopiga HAPANA live woote watabadili msimamo yao na hasa ikiwa wananchi wameshawaona live kuwa walipiga za HAPANA???
_nakushauri acha kuchukulia mambo kirahisi hivyo mkubwa

Lisilowezekana kwa mwanadamu, kwa ccm linawezekana.
Kama waziri anatamka wazi kupewa rushwa na mbia wa iptl na bado yupo kazini, unategemea muujiza gani mwingine kutoka kwa watu hawa?
 
Last edited by a moderator:
Unajua wee Chabruma una akili za kitoto sana!
Je kura za siri umejuaje kama zote ni ndiyo?
Unajua kilichowafanya wakapiga kura za siri?
Nani kakuambia kuws wanarudia kupiga kura?
Dalili za wazi kuwa Sitta kaanguka vibaya huzioni?
Mumehangaika kumleta AG wa Zanzibar kawaumbua kweupee!
Mwambie mhuni mwenzako Sitta aache kushupaa na akubali matokea mchakato usubiri kama alivyofanya Kikwete!

Mwisho naomba kesho ushuhudie bunge likivunjika lenyewe asubuhi na ndiyo mwisho!!
Huku mtaani tutakuwa tunatembeza bakora tu hadi mrudishe hela washenzi nyie!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama si rasimi kwann unazileta humu?
Kwa kawaida Takwimu rasmi zinatolewa na wenye mamlaka. Hizi ni takwimu zinasosemekana kwa vile nilikuwa naokoteza
 
Kwa hiyo suala la katiba limekuwa ni CCM vs UKAWA & co...

Hivyo kwa mantiki hiyo kwa kuwa ni chereko kwa CCM unataka kutueleza hii ni rasimu ya katiba ya CCM inayopitishwa huko Dodoma...
 
Mimi. NAOMBA ipite ili Wananchi wakaamue wenyewe! Hii mambo ya KILA mtu na Sensa zake wakati Watu wote wako kwenye mitandao tu...
 
Unajua wee Chabruma una akili za kitoto sana!
Je kura za siri umejuaje kama zote ni ndiyo?
Unajua kilichowafanya wakapiga kura za siri?
Nani kakuambia kuws wanarudia kupiga kura?
Dalili za wazi kuwa Sitta kaanguka vibaya huzioni?
Mumehangaika kumleta AG wa Zanzibar kawaumbua kweupee!
Mwambie mhuni mwenzako Sitta aache kushupaa na akubali matokea mchakato usubiri kama alivyofanya Kikwete!

Mwisho naomba kesho ushuhudie bunge likivunjika lenyewe asubuhi na ndiyo mwisho!!
Huku mtaani tutakuwa tunatembeza bakora tu hadi mrudishe hela washenzi nyie!!!
Mkuu, kuhusu kura za siri, zote zimehesabiwa na matokeo yanajulikana. Wote wamepiga kura ya NDIYOOOOOOOO.Kuhusu mwanasheria wa Zanzibar, kapiga kura ya wazi na kapinga ibara 24 kati ya 289 za Rasimu ua Katiba. Ukichukua wastani unaona wewe mwenyewe wapi kaegemea
 
Kwa hiyo suala la katiba limekuwa ni CCM vs UKAWA & co...

Hivyo kwa mantiki hiyo kwa kuwa ni chereko kwa CCM unataka kutueleza hii ni rasimu ya katiba ya CCM inayopitishwa huko Dodoma...
Ni kweli Mkuu. UKAWA alijipambanua wenyewe kuwa walikuwa wanapambana na CCM
 
Hahahahahaaaaaa! Jamiiforums ndo imemtengeneza Chabruma. Siwezi kuisema kwa ubaya wala kuishambulia. Hili ni jukwaa huru ambalo wengi tunalitumia kutua mizigo inapotuelemea. Pia hiki ni kipumulio cha wanyonge

Sasa uliomba huruma ya bunge ya nn
 
Hongera Wabunge kwa kutuletea Katiba iliyojaa matumaini kwa Watanzania
 
Kwa jinsi ulivyojielezea inaonyesha 6 ndiye anayetisha watu. Haiwezekani mtu ametoa uamuzi wake wa Hapana unamuundia kamati halafu unakuja na majibu inamaana mmeshatengeneza majibu mnayotaka.
 
Mkuu, kuhusu kura za siri, zote zimehesabiwa na matokeo yanajulikana. Wote wamepiga kura ya NDIYOOOOOOOO.Kuhusu mwanasheria wa Zanzibar, kapiga kura ya wazi na kapinga ibara 24 kati ya 289 za Rasimu ua Katiba. Ukichukua wastani unaona wewe mwenyewe wapi kaegemea

Umeona vipengele alivyokataa na uzito wake?
Mwisho nikwambie kuwa hakuna akidi na kuipata ni ndoto.Sitta ameshakubali kuwa yeye ni mwehu ma mjuha wa kijinga!
Huna akili wewe!!
 
Back
Top Bottom