Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana ikawa kweli! ccm ni mafya! kupiga kura na kuchakachua ni mtindo wao!
Mkuu, unachoonyea ni sahihi kabisa. Leo Sitt kawatolea uvivu. Wapo baadhi ya mapunguani yakaja humu na kuanza kumchonganisha na MaaskofuNilishangazwa na wahuni wanao jiita maaskofu kuandika waraka wa kisiasa kwa mgongo wa Chadema! Yani hawa wahuni wanao jiita maaskofu ni bora wajiunge na UKAWA kabisa!
Mkuu, tena nimemsaidia huyo jamaa kumuwekea Ibara ambazo Omar amekataa.wewe uko wapi mkuu, Mwanasheria wa ZANZIBAR kapiga kura ya ndiyo kwa baadhi ya ibara tena nyingi tu. Ni chache tu alizosema hapana, anza tu kujiharishia sasa hivi.
Mchakato wa katiba mpya ni vita. Usifikiri mtaachwa tu mnacheza rafu zenu. Kwa nini muwafungie watu ili wasioige kura?
Mimi. NAOMBA ipite ili Wananchi wakaamue wenyewe! Hii mambo ya KILA mtu na Sensa zake wakati Watu wote wako kwenye mitandao tu...
Yaani 2/3 imetwangwa kote kote. Hapa Dodoma ni Chereko tu. tena leo nimealikwa kwenye sherehe za kuvunja Kamati. Kuna wengine wameanza kuvunja kamati leo kwa vile mambo yamekwishaMkuu, waache tu wabwabwaje, kwa haraka haraka ni kwamba 2/3 imeshapatikana kila upande.
umesoma post ya Chabruma mpaka mwisho? amesema hiyo ni tathmini tu na matokeo rasmi yatatangazwa. Lakini hata hivyo dalili za mvua ni mawingu. ni wazi Katiba imeshapita.Hii ni propaganda ya kuhalalisha wizi wa kura,umefikiaje hitimisho wakati kura za siri matokeo bado?!!
Umejuaje kura za fax na emails kama hujatumwa kuandika mazingira ya kuhalalisha ushenzi wa CCM na vibaraka wake??!!
Hahahahahahahaaaaaaaaa! Ingawa umekata tamaa, ila ndo uhalisiaMkuu CCM Wakidhamiria Jambo kuwashinda ni mpaka nguvu kubwa ya Umma itumike,Kama wameweza kulazimisha akidi itimie Bungeni unadhani watashindwa nini kuipitisha katiba yao kwa wananchi..?? Kibaya zaidi na kizuri kwao iyo kura ya Maoni ya wananchi inasimamiwa na Tume ya Uchaguzi iliyochaguliwa na M/Kiti wa CCM.
Yaani 2/3 imetwangwa kote kote. Hapa Dodoma ni Chereko tu. tena leo nimealikwa kwenye sherehe za kuvunja Kamati. Kuna wengine wameanza kuvunja kamati leo kwa vile mambo yamekwisha
Mkuu kww vile tunapoweka post humu tunakuwa ni watu wa kawaida tu, hakika wangejua source ya hizo taarifa tungeheshimianaumesoma post ya Chabruma mpaka mwisho? amesema hiyo ni tathmini tu na matokeo rasmi yatatangazwa. Lakini hata hivyo dalili za mvua ni mawingu. ni wazi Katiba imeshapita.
Hakika kuku wa kienyeji ni kila kona ya mji wa Dodoma. Pita pia maeneo ya Mwanga Bar na hata pale jirani na Maisha Club hakika ni kiama cha kuku wa kienyeji. Tangu nimefika huku Mkuu, najaza kuku wa kienyeji tu tumboni.Duh, mkuu ni siku nyingi sana sijafika Dodoma najua patakuwa pamebadilika sana, vipi kule CHAKO NI CHAKO bado kuku wa kienyeji wanachomeka?
Mkuu, kwa siasa za Zanzibar, hilo ni jambo la kawaida. Si umeona leo jinsi Mwanasheria Mkuu wa Zenji alivyoipata fresh? Wale wanapeana makavu live. Ila ukweli ndo huo nilioandika
Wewe Chabruma ni muongo sana kama wabunge kutoka Zanzibar waliopiga kura bungeni 153, ukijumlisha na wabunge wa UKAWA 67 waliotoka nje ya Bunge, jumla ya wabunge wa Zanzibar wanakuwa 220, kuna Ziada ya wabunge 10 kwenye idadi ya wabunge 210 ambao ni halali kutoka Zanzibar, Chabruma tafadhali wekeni mahesabu yenu vizuri hamtaeleweka mkizidisha idadi ya wajumbe kutoka Zanzibar.