Tathmini ya madhara ya kiuchumi juu ya hizi tozo na makato miamala ya simu

Tathmini ya madhara ya kiuchumi juu ya hizi tozo na makato miamala ya simu

Leo niliona msanii sijui bongo muvi anaitwa Batuli analalamika kuhusu tozo ya kwenye miamala, nikajisemea huyu mbwa anakuwaga kimbelembele kwenye mikutano ya kampeni za wanaume zake sasa wamemla watakutana nae 2025 analalamika nini?

Naona na yule Steve Nyerere nae amepost analalamika. Hawa wasaniii ndio wakata mauno kwa wadhalimu wanawapigia kampeni leo wanalalamika.

Kiukweli wasanii wapigwe Kodi ya muziki pia. Bloody mbuzi kabisa.
 
Kwa tozo hizo dhalimu tuitegemee wawekezaji waliokimbia kurudi tena kuwekeza.Maana maisha yatakuwa ghali
 
Back
Top Bottom